Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.DKT. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA KITAIFA NA KIMATAIFA IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya Kitaifa na Kimataifa, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kushuhudia uzinduzi wa matumizi ya Mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19, pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE).(Picha na Ikulu)

MWANDISHI wa habari kutoka (BBC) Bw.Aboubakar Famau akiuliza swali wakati wa mkutano uliowashirikisha waandishi wa habari wa Kitaifa na wa Kimataifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati wa uzinduzi wa matumizi ya mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19, pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE) (Picha na Ikulu) MWANDISHI wa habari kutoka Taifa leo Kenya (NMG) Bi. Mary Wangari akiuliza swali wakati wa mkutano wao uliowashirikisha waandishi wa habari wa Kitaifa na wa Kimataifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati wa uzinduzi wa matumizi ya mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19, pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE) (Picha na Ikulu) WAANDISHI wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya Kitaifa na Kimataifa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na waandishi hao uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume na kushuhudia uzinduzi wa matumizi ya mashine ya (EDE ) ya kupimia UVIKO-19 pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE) .(Picha na Ikulu)

MWANDISHI wa habari kutoka Daily Nation / Business Daily Bw.Ochieng Oreyo akiuliza swali wakati wa mkutano wao uliowashirikisha waandishi wa habari wa Kitaifa na wa Kimataifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati wa uzinduzi wa matumizi ya mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19, pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE) (Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments