Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MULAMULA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UGANDA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, Mhe. Jen. Jeje Odongo tarehe 19 Januari jijini Kampala, Uganda. Viongozi hao walijadili masuala ya ushirikiano wa kidiplomasia hususani Diplomasia Uchumi kwa maslahi ya mataifa yao.
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uganda na Tanzania wakiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Aziz Mlima (wa kwanza kushoto), Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Kabonelo (wa kwanza kulia) pamoja na maafisa kutoka nchi hizo wakifuatilia majadiliano.
Mhe. Waziri Mulamula akikabidhi zawadi kwa Mhe. Waziri Odongo
Picha ya Pamoja Waheshimiwa Mawaziri na Mabalozi wa Tanzania na Uganda.

Post a Comment

0 Comments