Raundi ya Nne ya kombe la FA nchini Uingereza imetoka ambapo timu kadhaa zitashuka dimbani kumefanyana kuingia raundi inayofuata.
Raundi ya Nne ya Kombe la Nne ni kama ifuatavyo
Crystal Palace vs Hartlepool
Bournemouth vs Boreham Wood
Huddersfield vs Barnsley
Peterborough vs QPR
Cambridge vs Luton
Southampton vs Coventry
Chelsea vs Plymouth
Everton vs Brentford
Kidderminster Harriers vs West Ham
Manchester United or Aston Villa vs Middlesbrough
Tottenham vs Brighton
Liverpool vs Cardiff
Stoke vs Wigan
Nottingham Forest vs Leicester
Manchester City vs Fulham
Wolves vs Norwich
0 Comments