RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini wa Mpango Mkuu na kufanya utafiti na upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa Bandari mpya ya Malindi, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar amesaini Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliani na Uchukuzi Zanzibar Bw. Amour Hamil Bakari na kwa Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman Sheikh.Nasser Al Harthy, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini kwa ajili ya ujenzi wa bandari mpya ya Malindi ambayo itakuwa ya kitalii pamoja na mji wa kisasa katika eneo la Bwawani Mjini Zanzibar.akisaini kulia)Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Zanzibar. Nahaat Mahfoudh na (kushoto) Bw.Mohamed Al Taooq alisaini kwa niaba ya Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman.(Picha na Ikulu)
0 Comments