Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKUU WA JKT IKULU ZANZIBAR.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika leo 13-1-2022 katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajab Nduku Mabele, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Mkuu wa Kikosi cha JKU Kanali Makame Abdalla Daima, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 13-1-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Uongozi wa JKT kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajab Nduku Mabele,wakati akimkabidhi Kalenda ikiwa na picha za Wakuu wa JKT,baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 13-1-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments