Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. ummy Nderiananga akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid mapema hii leo Januari 06, 2022 Zanzibar.Lengo la ziara hiyo ni kujionea utekelezaji wa shughuli za Watu wenye ulemavu Mkoani hapo.
0 Comments