Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO KATIKA PICHA; WAZIRI DKT. PINDI CHANA ALIPOFIKA NA KUPOKELEWA NA WATUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU, SERA URATIBU NA BUNGE


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera Uratibu na Bunge Mhe. Dkt. Pindi Chana akizungumza na Watumiishi wa Ofisi hiyo , baada ya kuwasili na kupokelewa na watumishi hao katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma Januari 10, 2022.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera, Uratibu, na Bunge Mhe. Dkt. Pindi Chana akisalimiana na Wakuu wa Idara na Vitengo mbalimbali wa Ofisi hiyo baada ya kuwasili Januari 10, 2022 katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma .


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera Uratibu na Bunge akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kupokelewa na watumishi wa Ofisi hiyo Januari 10, 2022 katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Kaspar Mmuya akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Dk. Pindi Chana (wa pili kulia ) pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Ummy Nderiananga ( wa kwanza kulia) na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Dkt. John Jingu Januari 10, 2022 katika Mji wa Serikali Jijini Dodoma.


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera Uratibu na Bunge Mhe. Ummy Nderianaga akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili na kupokelewa na Watumishi wa Ofisi hiyo Januari 10, 2022 katika Mji wa serikali Mtumba Jijini Dodoma .


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Dkt. Pindi Chana akisalimiana na watumishi wa Ofisi hiyo baada ya kuwasili Januari 10, 2022 katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments