Sehemu ya msafara wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ ya kampeni ya Coca-Cola, ukiwa unapita sehemu mbalimbali wa mkoani Kilimanjaro ukitoa zawadi kemkem ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nyakati muhimu na za kipekee msimu huu wa sikukuu. Kampeni ya ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ imelenga kusherehea na kufurahia kwa pamoja na wateja na watumiaji wa bidhaa zinazozalishwa na Coca-Cola nchi nzima.
Sehemu ya msafara wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ ya kampeni ya Coca-Cola, ukiwa unatoa burudani sehemu mbalimbali kwa wakazi wa mkoani Kilimanjaro ukitoa zawadi kemkem ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nyakati muhimu na za kipekee msimu huu wa sikukuu. Kampeni ya ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ imelenga kusherehea na kufurahia kwa pamoja na wateja na watumiaji wa bidhaa zinazozalishwa na Coca-Cola nchi nzima
Sehemu ya wakazi mkoani Kilimanjaro waliojitokeza kushuhudia msafara wa kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ ya kampeni ya Coca-Cola ukiwa unapita katika maeneo yao ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nyakati muhimu na za kipekee msimu huu wa sikukuu. Kampeni ya ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ imelenga kusherehea na kufurahia kwa pamoja na wateja na watumiaji wa bidhaa zinazozalishwa na Coca-Cola nchi nzima.
0 Comments