RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma kwa ajili ya ufungaji wa mkutano wa Wadau wa Kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Nchini Tanzania.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguji wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Nchini Tanzania, uliowashirikisha Viongozi wa mbalimbali wa Vyama vya Siasa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)
WASHIRIKI wa mkutano wa Wadau wa kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa nchini Tanzania, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufunga mkutano huo uliofanyika katika katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma leo 17-12-2021.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wa Dini Nchini Tanzania wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindu.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akifunga mkutano wa Wadau wa Vyama vya Siasa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Hazini Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)
0 Comments