Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.DK. MWINYI AHUDHURIA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdallah Juma Mabodi (kushoto kwa Rais) akiwa na Viongozi wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, alipowasili Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri ya CCM Zanzibar.kilichofanyika leo 12-12-2021.(Picha na Ikulu)  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri ya CCM Zanzibar wakisoma makabrasha ya Kikao kabla ya kuaza kwa, kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo 12-12-2021.(Picha na Ikulu)

WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapindsuzi Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akiongoza Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments