Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara, akizungumza na Wahitimu wa chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), (hawapo pichani), kwenye mahafali ya 37 ya chuo hicho, yaliyofanyika Jijini Dar es salaam, Disemba 10, 2021. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara (kulia), akiwa ameambatana na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Prof. Zakaria Mganilwa, Wakiwasili katika mahafali ya 37 ya chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es salaam. Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Prof Zakaria Mganilwa, akitoa taarifa Kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara (hayupo pichani) wakati wa mahafali ya 37 ya chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es salaam, Baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara,(hayupo pichani), wakati akihutubia kwenye mahafali ya 37 ya chuo hicho, yaliyofanyika Jijini Dar es salaam, Disemba 10, 2021. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, (wa katikati), akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), kwenye mahafali ya 37 ya chuo hicho, yaliyofanyika Jijini Dar es salaam, Disemba 10, 2021. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara(kushoto), akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Prof. Zakaria Mganilwa wakati wa Mahafali ya 37 ya chuo hicho, yaliyofanyika Jijini Dar es salaam, Disemba 10, 2021. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara, akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa kozi ya uhudumu ndani ya ndege (cabin crew), wakati wa Mahafali ya 37 ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, yaliyofanyika Jijini Dar es salaam, Disemba 10, 2021.
0 Comments