Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Msaidizi wa Polisi SACP Ramadhan Ng’anzi akipokea tuzo kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe, Khamis Hamza Chilo. Tuzo hiyo imetolewa na Shirika la Matumani kwa Wasichana na Wanawake Kutokana na kutambua mchango wa IGP Sirro katika kupambana na vitendo vya Ukatili. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika hilo BI. Rhobi Samwelly. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe, Khamis Hamza Chilo akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Dawati la Jinsia kutoka Tanzania bara na Zanzibar baada ya kufungua Kikao chao cha mwaka kinachofanyika mkoani Mwanza. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe, Khamis Hamza Chilo akizungumza katika ufunguzi wa kikao cha tatu cha mwaka kwa Watendaji wa Dawati la Jinsia kutoka Tanzania bara na Zanzibar kinachofanyika mkoani Mwanza. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi

0 Comments