Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS DKT. MAPANGO AZISHUKURU TAASISI ZA KIDINI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KWA KUTOA ELIMU BORA


************

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango amezishukuru Taasisi za Kidini kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kutoa elimu bora.

Hayo yamesemwa leo na Waziri Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Ummy Mwalimu alipomuwakilisha Makamu wa Rais katika uzinduzi wa majengo ya mabweni ya ghorofa 4 yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 1000 katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sisters of Marry iliyopo Makurunge Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani.

Post a Comment

0 Comments