Ticker

6/recent/ticker-posts

COCA-COLA TANZANIA NA CLOUDS MEDIA GROUP ZASHIRIKIANA TAMASHA LA CHRISTMAS CAROLS 2021


Baadhi ya wahudhuriaji wa tamasha la Christmas Carols 2021 wakizungusha gurudumu la bahati ili kujishindia zawadi kutoka kampuni ya Coca-Cola ikiwa ni sehemu ya kampeni ya ‘Maajabu Halisi’ inayoendelea nchini kote. Tamasha hilo lililoandaliwa na Clouds Media Group kwa kushirikiana na Coca-Cola Tanzania ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili walitumbuiza katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya wa Bongo Flava nchini Tanzania, Barnaba (kulia) pamoja na msanii wa injili, Ambwene Mwasonge (kushoto) wakitumbuiza jukwaani wakati wa tamasha la Christmas Carols 2021 ambalo hufanyika kila mwaka katika kusherehekea msimu wa sikukuu za Christmas. Tamasha hilo lililoandaliwa na Clouds Media Group kwa kushirikiana na Coca-Cola Tanzania ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili walitumbuiza katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Msanii nyota wa muziki wa injili nchini Tanzania, Clement Paul akitumbuiza jukwaani wakati wa tamasha la Christmas Carols 2021 ambalo hufanyika kila mwaka katika kusherehekea msimu wa sikukuu za Christmas. Tamasha hilo lililoandaliwa na Clouds Media Group kwa kushirikiana na Coca-Cola Tanzania ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili walitumbuiza katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Msanii nyota wa muziki wa injili nchini Tanzania, Joel Lwaga akitumbuiza jukwaani wakati wa tamasha la Christmas Carols 2021 ambalo hufanyika kila mwaka katika kusherehekea msimu wa sikukuu za Christmas. Tamasha hilo lililoandaliwa na Clouds Media Group kwa kushirikiana na Coca-Cola Tanzania ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili walitumbuiza katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Meneja Chapa Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo akizungumza na wahudhuriaji wa tamasha la Christmas Carols 2021 ambalo hufanyika kila mwaka katika kusherehekea msimu wa sikukuu za Christmas. Tamasha hilo lililoandaliwa na Clouds Media Group kwa kushirikiana na Coca-Cola Tanzania ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili walitumbuiza katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.


Post a Comment

0 Comments