Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Makao Makuu ya CCM Dodoma. (Picha na CCM Makao Makuu)
Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu Thuwaiba Kisasi akihutubia wakati wa mkutano wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma. (Picha na CCM Makao Makuu)
Mwenyekiti wa UWT Ndugu Gaudensia Kabaka akihutubia wakati wa mkutano wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika Makao Makuu ya CCM Dodoma. (Picha na CCM Makao Makuu)
0 Comments