Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri Habari.Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. tabia maulid Mwita katika hafla ya kupongezwa kwake kutimiza mwaka mmoja wa Awamu ya Nane hafla hoyo iliyotayarishwa na Wizara na kufanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 31/11/2021..
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya kupongezwa kwake kutimiza mwaka mmoja wa Awamu ya Nane na iliyotayarishwa na Wizara ya Habari.Vijana,Utamaduni na Michezo iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 31/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimakabidhi zawadi Mwakilishi wa Kampuni ya Golden Tulip Hassan Raza kutokana na michango ya kampuni hizo wakati wa hafla ya kupongezwa Rais kwa kutimiza mwaka mmoja wa Awamu wa Nane katika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 31/11/2021.
Mawaziri wa Wizara mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kupongezwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakichukua Chakula katika hafla ya Mwaka Mmoja ya Uongozi wake na Wizara ya Habari.Vijana,Utamaduni na Michezo iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 31/11/2021.
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kupongezwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kutimia kwa Mwaka Mmoja ya Uongozi wake na Wizara ya Habari.Vijana,Utamaduni na Michezo iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo wakichukua chakula kama wanavyoonekana.[Picha na Ikulu] 31/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakichukua chakula wakati wa hafla ya kupongezwa Rais kwa kutimia kwa Mwaka Mmoja ya Uongozi wake na Wizara ya Habari.Vijana,Utamaduni na Michezo iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 31/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akibonyeza kompyuta kama ishara ya kuzindua Filamu ya Mafanikio ya mwaka Mmoja wa Uongozi Awamu ya Nane katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo ambayo imetayarishwa na Waziri wa Habari.Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar.[Picha na Ikulu] 31/11/2021.
Waziri wa Habari.Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita alipokuwa akitoa maelezo mafupi na kumakaribisha Mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzindua Filamu ya Mafanikio ya mwaka Mmoja wa Uongozi Awamu ya Nane katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 31/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Marium Mwinyi(wa pili kulia)Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla (wa pili kushoto)pamoja na Viongozi wengine wakisimama wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika katika hafla ya kupongezwa Rais kwa kutimia kwa Mwaka Mmoja ya Uongozi wake na Wizara ya Habari.Vijana,Utamaduni na Michezo iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 31/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi(katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiangalia Ngoma ya msewe mara alipowasili viwanja vya Sea Clif Hotel katika hafla ya kupongezwa kutimia kwa Mwaka Mmoja ya Uongozi wake na Wizara ya Habari.Vijana,Utamaduni na iliyofanyika ukumbi wa Sea Cliff Hotel Mangapwani Mkoa wa Kasakazini Unguja leo .[Picha na Ikulu] 31/11/2021.
0 Comments