Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI UMMY ATEMBELEA MIRADI ILIYOTEKELEZWA KWA FEDHA ZA MKOPO KUTOKA BENKI YA DUNIA


***************************

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais OR-TAMISEMI Mhe.Ummy Mwalimu (Mb) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Maendeleo, Sera na Mahusiano Bibi Mari Pangestu kutoka Makao Makuu ya Benki ya Dunia(Washington DC), Marekani wakitembelea miradi iliyotekelezwa kwa fedha za Mkopo kutoka Benki ya Dunia kupitia mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam(DMDP) mapema leo hii. Miradi iliyotembelewa ni Kituo cha Afya Buza na Soko la Makangarawe katika Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.

Post a Comment

0 Comments