Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (wa pili kulia) akipokea taarifa ya mapendekezo ya maboresho ya Sheria zinazogusa Sekta ya Habari kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile (kushoto), jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) akionesha taarifa ya mapendekezo ya maboresho ya Sheria zinazogusa Sekta ya Habari mara baada ya kuipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile (hayupo pichani), jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula (kushoto) na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi mara baada ya Waziri huyo kuwakabidhi taarifa ya mapendekezo ya maboresho ya Sheria zinazogusa Sekta ya Habari kwa ajili ya utekelezaji aliyoipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile (hayupo pichani), jijini Dodoma.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (wa pili kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile (kushoto) baada ya kukabidhi taarifa ya mapendekezo ya maboresho ya Sheria zinazogusa Sekta ya Habari kwa Waziri huyo jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (kushoto) akizungumza mara baada ya Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile (hayupo pichani) kukabidhi taarifa ya mapendekezo ya maboresho ya Sheria zinazogusa Sekta ya Habari kwa Waziri wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) baada ya kumkabidhi Katibu Mkuu huyo kwa ajili ya utekelezaji jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (kushoto) akizungumza mara baada ya Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile (hayupo pichani) kukabidhi taarifa ya mapendekezo ya maboresho ya Sheria zinazogusa Sekta ya Habari kwa Waziri wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (wa pili kulia) baada ya kumkabidhi Katibu Mkuu huyo kwa ajili ya utekelezaji jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala Teddy Njau na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa.
0 Comments