Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia meza kuu), akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Uongozi ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara, Mtumba, Jijini Dar es Salaam, leo Novemba 16, 2021. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia meza kuu), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Christopher Kadio, alipokuwa anazungumza katika Kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Wizara, Mtumba, Jijini Dar es Salaam, leo Novemba 16, 2021. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia meza kuu), akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Deusdedit Buberwa wakati alipokuwa akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Uongozi ya NIDA, kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Wizara, Mtumba, Jijini Dar es Salaam, leo Novemba 16, 2021. Kushoto meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
0 Comments