Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA KILIMANJARO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ya siku tatu leo tarehe 21 Novemba 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Serikali pamoja na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Mkoa wa Arusha, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro leo tarehe 21 Novemba 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.

Post a Comment

0 Comments