Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA APOKEA KIFIMBO CHA MALKIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Mratibu wa Kifimbo cha Malkia (Queen’s Baton Relay) hapa nchini Bw. Hanry Tandau, kama ishara ya uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola, wakati kilipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Novemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo mara baada ya kupokea Kifimbo cha Malkia (Queen’s Baton Relay) chenye ishara ya uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola, wakati kifimbo hicho kilipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Novemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo mara baada ya kupokea Kifimbo cha Malkia (Queen’s Baton Relay) chenye ishara ya uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola, wakati kifimbo hicho kilipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Novemba, 2021.

Post a Comment

0 Comments