Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AKAMILISHA ZIARA YAKE YA KISERIKALI YA SIKU TATU NCHINI MISRI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Nchi anaeshuhulikia masuala ya Uhamiaji na Wamisri nje ya nchi, wa Misri Mhe. Nabila Makram, katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Cairo Misri alipokua akiondoka Misri na kurejea Tanzania baada ya kukamilisha ziara yake ya siku tatu nchini Misri leo tarehe 12 Novemba 2021.

Post a Comment

0 Comments