Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AENDELEA NA ZIARA YAKE KWA KUTEMBELEA MAENEO MBALIMBALI MJINI CAIRO NCHINI MISRI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uhifadhi wa nyaraka mbalimbali alipotembelea Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu alipotembelea Jengo jipya la Makumbusho katika mji mpya wa Serikali Cairo nchini Misri jana jioni.

Post a Comment

0 Comments