Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.DKT. MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOTELI YA KITALII YA EMERALD ZANZIBAR RESOTR &SPA MATEMWE


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort & SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja,akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na(kushoto) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Jesus Alfredo Otri, ikiwa ni shamrashamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake kutokea kuingia madarakani.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mmiliki wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort &SPA Matemwe Bw. Jesus Alfredo Otri, akitowa maelezo ya Mradi huo baada ya kuweka Jiwe la Msingi , ikiwa ni shamrashamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika eneo la mradi huo Matemwe.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort &SPA Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja (kushoto) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Jesus Alfredo Otri na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mmiliki wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Emerald Zanzibar Resort &SPA Matemwe Bw. Jesus Alfredo Otri, akitowa maelezo ya Mradi huo baada ya kuweka Jiwe la Msingi , ikiwa ni shamrashamra za Mwaka mmoja wa Uongozi wake, hafla hiyo imefanyika katika eneo la mradi huo Matemwe.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments