Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE. SAMIA AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA MABENKI YA STANDARD CHARTED GLASGOW SCOTLAND


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Mabenki ya Standard Charted katika ngazi ya Kimataifa José Viñals mara baada ya mazungumzo yao Glasgow Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021. PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments