Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA AMREF HEALTH AFRIKA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Uongozi wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania "wakati Ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumpongeza Rais kwa kutimia mwaka Mmoja wa Uongozi wake pia kuhusu Shirika hilo linavyotekeleza kazi zake hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania " Dk.Florence Temu (wapili kulia) alipokuwa akielezea masuala mbali mbali akiwa na Ujumbe wake aliofuatana nao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea cheti maalum cha pongezi kwa kutimia mwaka Mmoja wa Uongozi wake kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania " Dk.Florence Temu wakati Uongozi wa Shirika hilo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 09/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Uongozi wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania "wakati Ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumpongeza Rais kwa kutimia mwaka Mmoja wa Uongozi wake pia kuhusu Shirika hilo linavyotekeleza kazi zake hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la "Amref Health Africa in Tanzania " Dk.Florence Temu (katikati) na Mkuu wa Miradi wa Dr.Aisa Muya mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 09/11/2021.

Post a Comment

0 Comments