Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA IRELAND NCHINI TANZANIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell alipofika kujitambulisha Ikulu jijini Zanzibar .Picha na Ikulu] 08/11/2021.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.Picha na Ikulu] 08/11/2021.

Jamhuri ya Ireland Nchini Tanzania Bibi.Mary O'Nell wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mgeni wake Balozi wa baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar pamoja na kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.

Post a Comment

0 Comments