Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akimkaribisha Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Nabil Hajlaoui alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha leo akiwa na Mke wa Balozi Amna Hajlaoui .[Picha na Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na Mgeni wake Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Nabil Hajlaoui mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 17/11/2021. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Nabil Hajlaoui mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 17/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Nabil Hajlaoui wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 17/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza Mgeni wake Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Nabil Hajlaoui wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.[Picha na Ikulu] 17/11/2021.
0 Comments