Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI, AZINDUA KIWANDA CHA ZANZIBAR HANDMADE COSMETICS CHA KAMPUNI YA SHEAR ILLUSIONS

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar.
Rais wa Zanzibar wa Awamu ya Nane, na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi Akishihudia Baadhi ya Bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho. Mkurugenzi wa kampuni ya Shear illusions akitoa maelekezo kwa Mhe. Rais Mwinyi na wageni mbalimbali kuhusu bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo. Rais wa Zanzibar wa Awamu ya Nane na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi Akimsikiliza Mkurugenzi wa Shear Illusions Africa, Mama Shekha Nasser Ambaye Ndiye Mwekezaji wa Kiwanda cha Zanzibar Handmade Cosmetics.

Post a Comment

0 Comments