Ticker

6/recent/ticker-posts

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA, AFUNGA MAFUNZO YA SIKU NNE KWA MAKATIBU WA CCM WA WILAYA NA MIKOA


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Ilani ya utekelezaji ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja Ndugu Abdullah Mwinyi Hassan kwa niaba ya Mkoa wa Mjini Unguja, wakati wa ufungaji mafunzo ya siku nne kwa Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa yaliyofanyika katika Ukumbi wa NEC Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Jijini Dodoma leo tarehe 06 Novemba 2021.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akifunga mafunzo ya siku nne kwa Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa yaliyofanyika katika Ukumbi wa NEC Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Jijini Dodoma leo tarehe 06 Novemba 2021. PICHA NA IKULU.

Post a Comment

0 Comments