Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi leo Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 2, 2021

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Kayanza Pinda alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 2, 2021


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Kayanza Pinda alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 2, 2021, Kushoto ni Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Bw. Kenani Kihongosi


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Maadili na Kinga kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodona, Novemba 2, 2021, Kamati hiyo ipo Jijini Dodoma kwa ziara ya kikazi (mafunzo) ya siku 2 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akipokea zawadi ya t - shirt kutoka kwa Mkuu wa Hifadhi ya KINAPA, Bi. Angela Nyaki alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodona, Novemba 2, 2021


Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na viongozi kutoka Zara International Travel Agnecy Ltd na Hifadhi ya KINAPA walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodona, Novemba 2, 2021


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimuapisha Mbunge wa Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani leo Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 2, 2021


Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa Zara International Travel Agnecy Ltd, Bi. Zainab Ansell alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodona, Novemba 2, 2021


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimuapisha Mbunge wa Konde, Mhe. Mohamed Said Issa leo Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 2, 2021

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments