Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MAJALIWA BUNGENI LEO DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula bungeni jijini Dodoma, Novemba 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Masauni kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 8, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments