Ticker

6/recent/ticker-posts

MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2022-2023 YAWASILISHWA BUNGENI


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwasilisha bungeni Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2022/23, jijini Dodoma.


Kamishna wa Bajeti wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Balandya Elikana (kushoto), Kamishna Msaidizi wa Idara ya Sera wa Wizara hiyo Bw. Mbayan Saruni, wakiwa na viongozi wengine wa Wizara hiyo katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma, baada ya kuwasilishwa kwa Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2022/23.


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Khatibu Kazungu (wa tatu kulia) akiwa na baadhi ya viongozi na maafisa wa Wizara hiyo wakati wa kuwasilishwa kwa Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2022/23, bungeni, jijini Dodoma.


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoa wa Lindi, Mhe. Moses Nnauye, kabla ya kuwasilishwa kwa Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2022/23, bungeni, jijini Dodoma.


Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), baada ya kuwasilishwa kwa Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2022/23, bungeni, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akielekea kuwasilisha Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2022/23, bungeni, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), wa pili kushoto, Kamishna wa Bajeti wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Balandya Elikana (kulia), akiwa na viongozi wengine, baada ya kuwasilishwa kwa Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2022/23, bungeni Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha na Mipango)

Post a Comment

0 Comments