Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ASHIRIKI JUKWAA LA NNE MAJADILIANO YA KIUCHUMI LA BLOOMBERG NCHINI SINGAPORE


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungmza na Rais wa Armenia Mhe.Armen Sarkissian walipokutana kabla ya kuanza kwa Jukwaa la Nne Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg linalofanyika Nchini Singapore. Nov 17, 2021.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Mwanzilishi na Muandaaji wa Jukwaa la Nne la Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg Mhe. Micheal Bloomberg linalofanyika Nchini Singapore walipokutana muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano huo. Novemba 17,2021


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa katika picha ya pamoja na muanzilishi na muaandaaji wa Jukwaa la Nne Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg Mhe. Micheal Bloomberg linalofanyika Nchini Singapore walipokutana muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano huo. Novemba 17,2021


Balozi wa Tanzania nchini India Baraka Luvanda akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu na Mbia Mwanzilishi wa Master Card wakati walipokutana muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Jukwaa la Nne la Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg linalofanyika katika Hoteli ya Cappella Kisiwa cha Santosa Nchini Singapore. Novemba 17,2021.

Post a Comment

0 Comments