Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban pamoja na Mwenyekiti wa Pan African Center for Policy Studies Bibi Judica Amri-Lamson (kulia) wakati alipowasili Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Ufunguzi wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition".[Picha na Ikulu] 08/11/2021.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition"wakiwa katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi, ambapo leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alifungua Kongamano hilo.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.
Mwenyekiti wa Pan African Center for Policy Studies Bibi Judica Amri-Lamson (kulia) wakati alipokuwa akitoa maelezo yake katika Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition" lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) kulifungua Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition" leo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Martin Ngoga (kulia) akitoa akitoa salam zake katika Ufunguzi wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition" ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) amelifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya kulifungua Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition" hafla iliyofanyika leo katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe.Omar Said Shaaban (katikati) na Mwenyekiti wa Pan African Center for Policy Studies Bibi Judica Amri-Lamson (kulia) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Ufunguzi wa Kongamano la tatu la Arusha kuhusu Ubora wa Taasisi za Umma "The Third Edition of The Arusha Symposium on the Quality of Public Institition".[Picha na Ikulu] 08/11/2021.
0 Comments