*******************
Serikali kupitiaTaasisi ya Elimu Tanzania (TET) leo tarehe 26/10/2021 imeendelea na zoezi la usambazaji wa vitabu vya Kiada kwa Shule za Msingi na Sekondari katika halmashauri mbali mbali nchini .
Ambapo jumla ya vitabu 489,095 vinasambazwa katika halmashauri 8 za Mkoa wa Kigoma ambazo ni Buhigwe, Kasulu, Kasulu TC, Uvinza, Kibondo, Kigoma Vijijini, Ujiji, na Kakonko.
Zoezi la usafirishaji wa vitabu hivyo linafanywa na Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)
0 Comments