Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA ARUSHA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Arusha katika Mkutano wa uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo tarehe 17 Oktoba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimvalisha Kofia Mwanasiasa Maarufu Jijini Arusha Ndugu Ally Bananga ambaye alitangaza rasmi kuhama kutoka Chadema na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM kutokana na utendaji kazi mzuri wa Mhe. Rais Samia katika Mkutano uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo tarehe 17 Oktoba, 2021. PICHA NA IKULU


Post a Comment

0 Comments