Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisitiza jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe wa Uongozi wa Chuo cha Afrika College Of Insuarance & Social Protection unaoongozwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Afrika College Of Insuarance & Social Protection Dr.Baghayo A.Saqware (wa pili kulia) walipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 27/10/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti Mtendaji wa Dr.Baghayo A.Saqware (wa pili kulia) akiwa na ujumbe wa Uongozi wa Chuo hicho walipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 27/10/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti Mtendaji wa Afrika College Of Insuarance & Social Protection Dr.Baghayo A.Saqware (wa pili kulia) akiwa na ujumbe wa Uongozi wa Chuo hicho walipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 27/10/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) alipokuwa akiagana na Viongozi wa Chuo cha Afrika College Of Insuarance & Social Protection uliongozwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Afrika College Of Insuarance & Social Protection Dr.Baghayo A.Saqware (kulia) mara baada ya mazungumzo na kujitambulisha walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 27/10/2021.
0 Comments