****************************
*Kiwanda kilenge ubora wa kimataifa
*KASHIMBA: Watanzania wanapatiwa ujuzi na wataalam wa kigeni
Na Mwandishi Wetu, Moshi
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria imewataka wawekezaji na wafanyakazi wa kiwanda cha kimataifa cha bidhaa za ngozi Kilimanjaro (KLICL) kufanyakazi kwa juhudi, weledi na maarifa ili makusudio ya kuanzishwa kwa kiwanda yafikiwe.
Hayo yalisemwa Oktoba 23, 2021 na Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Najma Murtaza Giga wakati wa ziara ya kamati ya kudumu ya Bunge katika kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Kilimanjaro, kilichopo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
0 Comments