Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Rogatus Mativila akitoa taarifa ya mradi wa Barabara ya Sanya Juu - Elerai ( KM.32.2) kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya Ufunguzi iliyofanyika Leo Ijumaa, Oktoba 15, 2021 Wilayani Siha, Mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, mapema Leo Oktoba 15, 2021 amefanya Ufunguzi wa Barabara ya Sanya Juu- Elerai ( km.32.2), Wilayani Siha, Mkoani Kilimanjaro.
Mkandarasi ni China Geo Engineering chini ya Usimamizi wa TANROADS.
0 Comments