*********************
Katika pambano lililokuwa likisubiliwa kwa hamu kati Dullah Mbabe na Twaha Kiduku tumeshuhudia pambano hilo la aina yake ambapo mwanamasumbwi kutoka mji kasoro bahari nikimaanisha mkoani Morogoro Twaha Kiduku amefanikiwa kumshinda mpinzani wake Dullah Mbabe kwa pointi.
Twaha Kiduku ameweza kuibuka na ushindi ambapo kila jaji alitoa pointi 91 kwa 98 na kumtakangaza kiduku kuwa mshindi wa pambano hilo.
Crown sasa imeenda Moro town ambapo Twaha Kiduku ameuwakilisha Mkoa huo vyema kwani katika mapambano ambayo wameshawahi kukutana mara nyingi Kiduku amekuwa akiibuka mshindi
0 Comments