Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA UONGOZI WA ISTIQAMACHARITABLE ORGANIZATION LEO IKULU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization Bw.Salum Mohamed Salum (wa pili kulia) wakati Uongozi wa Jumuiya hiyo  ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa  akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization unaoongozwa na Mwenyekiti wake Bw,Salum Mohamed Salum(wa tatu kushoto)  ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiagana na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization  baada mazungumzo na Uongozi huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya  kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.

Post a Comment

0 Comments