Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.SAMIA SULUHU AWAONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI KUAGA MWILI WA HAYATI KWANDIKWA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Viongozi mbalimbali na Wananchi  kuaga Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  marehemu  Elias John Kwandikwa katika Viwanja vya Karimjee  Jijini Dar es Salaam leo tarehe  06, Agosti 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiifariji Familia ya aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  marehemu Elias John Kwandikwa baada ya kuongoza Viongozi mbalimbali na Wananchi kuaga Mwili wa Hayati Kwandikwa katika Viwanja vya Karimjee  Jijini Dar es Salaam leo tarehe  06, Agosti 2021.


Post a Comment

0 Comments