Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhandisi Ahmed El Sewedy Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Elsewedy Electric ya Nchini Misri mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 13 Agosti, 2021.
PICHA NA IKULU.
0 Comments