Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA OMAN NCHINI ANAEMALIZA MUDA WAKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Oman aliyemaliza muda wake hapa nchini  Mhe. Ali Bin Abdallah Bin Salim Al Mahrouqi mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga leo tarehe 12 Agosti, 2021. PICHA NA IKULU.

Post a Comment

0 Comments