Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 08 Agosti,2021 wakati akitokea Jijini Dar es Salaam alikofanya Shughuli mbalimbali za Kitaifa .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kusaili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 08 Agosti,2021 akitokea Jijini Dar es Salaam.IKULU.
0 Comments