Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Kamuzu Lilongwe nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki
Mkutano wa 41wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa
Afrika (SADC) unaotarajiwa kuanza hapo kesho tarehe 17 hadi 18 nchini Malawi.
PICHA NA IKULU
0 Comments