Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Prof. Elisante Ole Gabriel kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 21 Agosti, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki katika hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 21 Agosti, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Elsie Sia Kanza kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule kuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mabalozi walioapishwa Wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi mara baada ya kuapishwa, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya tukio la Uapisho wa Mabalozi watatu na Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
0 Comments