Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.DKT.MWINYI ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA YA JUU YA "LEGIONd " HONNER" IKULU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, baada ya kuwasili katika ukumbi kwa mazungumzo na kumkabidhi Tuzo ya “LEGION d” HONNER” iliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmmanual Macron, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kumvisha Tuzo ya juu ya Heshima inayofahamika kama “LEGION d” HONNER “ Tuzo hiyo iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmanual Macron, kutokana na Mchango wake mkubwa wa ushirikiano alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania,hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe Frederic Clavier (kulia kwake) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu, kabla ya kutunukiwa Tuzo ya Heshima ya Juu ya “LEGION d” HONNER” iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe.Emmanual Macron, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe.Frederic Clavier akizungumza kabla ya kumvisha Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER” iliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe.Emmanual Macron, hafla hiyo imefanyika katika  ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizunguma na kutowa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe Emmanual Macron kwa heshima aliyompa ya kumtunuku Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER “ kwa mchango wake mkubwa wa ushirikiano alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Frederic Clavier, baada ya kumaliza mazungumzo na kumtunuku Tuzo ya Juu ya Heshima ya “LEGION d” HONNER” iliotolewa na Rais wa Jamhuri ya Ufaransa Mhe. Emmanual Macron, kwa Mchango wake mkubwa na ushirikiano wake alipokuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, wakitoka katika ukumbi wa baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

   

Post a Comment

0 Comments