Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi amesema Serikali haitoruhusu uingizaji wa chanjo kiholela na kuwataka wafanyabiashara pamoja na taasisi zenye nia ya kuagiza chanjo kufiata utaratibu uliopo kabla ya kuingiza chanjo nchini.
Prof. Makubi ameitaka Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba TMDA kuchuku hatua kwa wale wote watakaobainika kukiuka taratibu zilizowekwa kabla ya kuingiza chanjo nchini.
0 Comments